Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,678
- 4,378
jamani eenh mnaipamba sana hiyo dprk na kale ka fattie, hawana lolote msicheze na US. Kwa yeyote anayekumbuka Iraq ilivyotisha, watu wakasema waliyosemwa mwisho wa siku wakachapwa km mtoto mdogo. Na mimi nilikuwa km nyie niliipaisha Iraq nikaamini hakuna mwanaume km Saddam, wenyewe mlimwona alivyokamatwa kwenye shimo. Ikaja Ossama chali kakamatwa anacheki digitali hahaa. Watu ooh Libya mmarekani hawezi yupo wapi sasa Ghadafi. Syria watu ooh Ngangari pale! Waasi tu wanamtimua! Jamani hako ka obesity Mmarekani atakachapa kwa one day tu! Kwanza wana ma vifaa ya kizamani ya kirusi, ona sasa wanatumia windows 95. Subirini muone kichapo cha mbwa mwizi