North Korea

Huku ndio kwa yule Rais anaenyoa panki la kiduku..
 
Halafu washirika wa Us wanaiita north korea ni nchi maskin. Hawa jamaa wananishangaza sana,
Inategemea na kipimo wanachotumia kupima umaskini. Kama ni majengo, au barabara au maisha ya mtu mmoja mmoja......n.k
 
Hawa jamaa watakuwa wwanafanya usafi kila siku, sio jumamosi kama sisi!
 
Raia wake naskia wanatani kutorokea South Korea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…