North Korea yawa Full nuclear power

North Korea yawa Full nuclear power

Jumanne wiki hii North Korea imetest tena
kombora la masafa marefu liitwalo Hwasong 14 ambalo limepaa juu km 2,802 kabla halijaenda umbali wa km 933 kwa muda wa dakika 39 tu na kupiga target ndani ya bahari ya Japan.

Jaribio hilo la mafanikio makubwa lilishuhudiwa na kiongozi wa North Korea Kim Yong Um na kushangilia kwa pamoja na majenerali wa jeshi la nchi hiyo, ambapo Kim alisema hiyo ni zawadi kwa wanaharamu wa taifa la Marekani.

Jaribio hilo la kombora maana yake ni kwamba sasa North Korea wanaweza kupiga Alaska Marekani kwa kombora hilo. Mwanafizikia David Wright anasema kombora hilo laweza kupiga umbali wa km 6,700 kwa mfumo wa kawaida (standard trajectory), wakati wizara ya ulinzi ya South Korea wanasema linaweza kwenda 700km mpaka 800km.

Hata hivyo North Korea wanayo makombora mengine, ICBM _KN -08 lenye uwezo wa kwenda km 11,500 na KN--14 lenye uwezo wa kwenda km 10,000, ambayo yote yana uwezo wa kubeba nuclear war heads .

Mini maana ya Inter continental Ballistic Missile: ni kombora linaloweza kwenda umbali usiopungua km 10,000 likiwa limebeba kichwa cha maangamizi cha nuclear ( nuclear war head)

.Nadhani ni vyema sasa Marekani akaufyata, na aelewe akilianzisha na North Korea, ameingia vitani na China na Urusi
First ICBM test conducted by Us Military was 1958 and it was successfully sasa Sioni sababu ya Us kufyata mbona una jitekenya mwenyewe team Kiduku??
 
Kim sio muongeaji saaana ila matendo trump ajiandae kisaikooojia
 
Hakuna vita ngumu alizopigana US kama zile za socialist countries na hajawahi fua dafu pia huu ni muda muafaka ardhi ya US kuwaka moto ndo maana ujamaa unapingwa sana kwa kuwa ni wepesi wa kupeana technology akati mabepar hawapendi tecnoloj itanuke ili waendeleze ubabe unlike ujamaa ambapo kwa muda flani utaona kanchi kadogo tayar kanaweza kurusha missiles ili kufikia war self reliance
 
First ICBM test conducted by Us Military was 1958 and it was successfully sasa Sioni sababu ya Us kufyata mbona una jitekenya mwenyewe team Kiduku??
Kama ndivyo ni nini kilimpeleka mpaka kwenye ghuba ya Korea na vifaa vyake na hajafanya chochote? Lakini kama North Korea naye ni mtupu mbona haogopi? Hapa kuna kitu

Sent from my HUAWEI Y360-U82 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom