North Korea yawa Full nuclear power

North Korea yawa Full nuclear power

Mra Eliphas

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2017
Posts
264
Reaction score
235
Jumanne wiki hii North Korea imetest tena
kombora la masafa marefu liitwalo Hwasong 14 ambalo limepaa juu km 2,802 kabla halijaenda umbali wa km 933 kwa muda wa dakika 39 tu na kupiga target ndani ya bahari ya Japan.

Jaribio hilo la mafanikio makubwa lilishuhudiwa na kiongozi wa North Korea Kim Yong Um na kushangilia kwa pamoja na majenerali wa jeshi la nchi hiyo, ambapo Kim alisema hiyo ni zawadi kwa wanaharamu wa taifa la Marekani.

Jaribio hilo la kombora maana yake ni kwamba sasa North Korea wanaweza kupiga Alaska Marekani kwa kombora hilo. Mwanafizikia David Wright anasema kombora hilo laweza kupiga umbali wa km 6,700 kwa mfumo wa kawaida (standard trajectory), wakati wizara ya ulinzi ya South Korea wanasema linaweza kwenda 700km mpaka 800km.

Hata hivyo North Korea wanayo makombora mengine, ICBM _KN -08 lenye uwezo wa kwenda km 11,500 na KN--14 lenye uwezo wa kwenda km 10,000, ambayo yote yana uwezo wa kubeba nuclear war heads .

Mini maana ya Inter continental Ballistic Missile: ni kombora linaloweza kwenda umbali usiopungua km 10,000 likiwa limebeba kichwa cha maangamizi cha nuclear ( nuclear war head)

.Nadhani ni vyema sasa Marekani akaufyata, na aelewe akilianzisha na North Korea, ameingia vitani na China na Urusi
 
Hiyo ya Urusi na Chiba umewasemea wewe
 
Wayatumie tu hayo mabomu ili tutakaobaki tuwe na akili, dunia ianze upya
 
Ili dunia iwe salama, inabidi yatumike hayo mabomu alafu baada ya uharibifu kila taifa litakuwa na akili juu ya hiyo nuke
 
Huo msemo wa kim kwa kombora hilo ni zawadi kwa US unanichekesha sana
 
Hata wakati wa Hiroshima na Nagasaki pro Japan na pro USA walikuwepo,,,kilichotokea kamuulize bibi yako
 
Huo msemo wa kim kwa kombora hilo ni zawadi kwa US unanichekesha sana
Alimanisha hilo ni special kwao halibishi hodi ni direct kick hadi USA na halina kinga linaingia kokote!!!
 
Ili dunia iwe salama, inabidi yatumike hayo mabomu alafu baada ya uharibifu kila taifa litakuwa na akili juu ya hiyo nuke
Kweli kabisa. Inabidi yatumike kwa mara nyingine tena ili mataifa yajifunze.
 
Back
Top Bottom