Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,686
- 39,816
Katika hali ya kushangaza nchi ya Korea kaskazini Jana imetest silaha yake nzito ya maangamizi ya kinyuklia huku "dogo" a.k.a little rocket man Mr Kim jong Un akishuhudia live.
Marekani mpaka sasa hawajasema lolote kutokana na kwamba kulikua na mazungumzo yanaendelea.lakini wachambuzi wa masuala ya kimataifa wanaeleza kwamba sababu za Kim kutest mitambo yako ni ukaidi wa marekani kutoachia vikwazo kwa nchi hiyo yenye nguvu kubwa ya kijeshi katika Asia ya mbali.
Source: Aljazeera , BBC , CNN, NBC , FOX NeWS , CCTV