engine rock
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,389
- 1,418
Mwambie arushe bomu kisiwa cha Guam,Ninacho furahi ni kuona jinsi Marekani anazinguliwa kwa kutishiwa na mtoto wa mwaka 1984, burudani sana kiduku akitoa tamko lolote lazima mabaraza yakae kujadiliana huko Pentagon, kumbe ni waoga tu....hakuna cha THAAD wala nini, juzi kombora limepita juu ya anga za mjapani freely bila kutunguliwa na mitambo yao ya Air Defense Systems.
US kwa mara ya kwanza ananyanyaswa kisaikolojia na taifa dogo kabisa.
Ngw'ana Kabula
Sent using Jamii Forums mobile app