North Korea: 'More gift packages' coming for the US

nyabhingi

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
14,370
2,000
North Korea has threatened to send "more gift packages" to the United States, days after testing the biggest nuclear weapon it has ever detonated.

Han Tae-song, ambassador of the Democratic People's Republic of Korea (DPRK) to the United Nations in Geneva, addressed the UN-sponsored Conference on Disarmament on Tuesday after his country carried out its sixth nuclear test.

"I am proud of saying that just two days ago on the 3rd of September, DPRK successfully carried out a hydrogen bomb test for intercontinental ballistic rocket under its plan for building a strategic nuclear force," Han told the Geneva forum.

"The recent self-defence measures by my country, DPRK, are a gift package addressed to none other than the US," Han said.

"The US will receive more gift packages from my country as long as it relies on reckless provocations and futile attempts to put pressure on the DPRK," he added without elaborating.
 
ikinyunyi

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
1,067

Thats manish

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Saguda47

JF-Expert Member
May 1, 2016
8,197
2,000
Wajaribu waone moto wa Us maninerrrr
unajihakikishiaje kwamba hao jamaa hawawezi kuzifikisha hizo " zawadi" kwa mmarekani? hahaaaa, N.k Pasua kichwa aseee, alipotishia kushambulia kisiwa cha Guam walianza kukimbizana mara kutoa tahadhari kwa raia halafu jamaa kakapiga kimya tu....US anachezeshwa kibinda na mapanki.

Ngw'ana Kabula
 
Saguda47

JF-Expert Member
May 1, 2016
8,197
2,000
Ninacho furahi ni kuona jinsi Marekani anazinguliwa kwa kutishiwa na mtoto wa mwaka 1984, burudani sana kiduku akitoa tamko lolote lazima mabaraza yakae kujadiliana huko Pentagon, kumbe ni waoga tu....hakuna cha THAAD wala nini, juzi kombora limepita juu ya anga za mjapani freely bila kutunguliwa na mitambo yao ya Air Defense Systems.
US kwa mara ya kwanza ananyanyaswa kisaikolojia na taifa dogo kabisa.

Ngw'ana Kabula
 
Saguda47

JF-Expert Member
May 1, 2016
8,197
2,000
Kim ni Mbwa tena Mbwa koko!!! Siku Trump akiamua kupress button No Body Will Survive In North Korea. Dogo hajitambui. I hate this **** young boy Kim!!!
kwa hiyo wewe huwa unafurahishwa na ubabe wa America dhidi ya mataifa mengine? don't hate kim, hate those hogs from USA coz they're the ones who created Kim's mind set of weaponization for the sake of national self defense,

Ngw'ana Kabula
 
Chibolo

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
4,364
2,000
Yaaaani mr.abuu hata mi nilishangaa barozi wa NK alivyokuwa akiongea kwa majigambo tena amemuangalia barozi wa USA kwamba hilo kombora na zawadi mahsusi ya wamarekani....mi nahisi hii jeuri ya NK ni kuiangalia kwa jicho la tatu sio bure...yawezekana kuna watu wako nyuma yao
 
jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,614
2,000
kwa hiyo wewe huwa unafurahishwa na ubabe wa America dhidi ya mataifa mengine? don't hate kim, hate those hogs from USA coz they're the ones who created Kim's mind set of weaponization for the sake of national self defense,

Ngw'ana Kabula
"TOTAL DESTRUCTION IS THE ONLY SOLUTION"
 
mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
6,952
2,000
Kim ni Mbwa tena Mbwa koko!!! Siku Trump akiamua kupress button No Body Will Survive In North Korea. Dogo hajitambui. I hate this **** young boy Kim!!!
Ubavu huo hana! Akipress button, na zile za korea ya kaskazini zinawaka automatically na hapo hakuna mshindi, maana kote kote kutatokea majivu! Vita vya nyuklia kwa taarifa yako vinaitwa MAD yaani Mutual Assured Destruction! Yaani ukivianzisha maana yake umejihakikishia maangamizi yako mwenyewe!
Ndio maana ukitaka usishambuliwe na yeyote hakikisha una silaha za nuklia na mfumo wa kuzituma! Korea ya kaskazini anazo na mfumo wa kuzituma anao! Hapo analala usingizi wake bila wasi wasi! Vitisho vyote vya Trump anaviona kama mziki wa mwimbaji fulani vile!
 
mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
6,952
2,000
Timu Trump inapumulia kwenye mashine! Chezea kiduku wewe! Kiburi cha Marekani ni kupigana kwenye ardhi za wengine! Sasa Kiduku kawaambia zawadi atazituma kwenye ardhi yao kama wataendeleza uchokozi!
Mmarekani amesafiri maelfu ya maili mpaka kuweka majeshi yake korea ya kusini na kufanya mazoezi ya kivita karibu na mpaka wa korea kaskazini, kama siyo uchokozi nin nini?
Sasa katika mazingira hayo utegemee Dogo wa kiduku asijiandae kwa silaha za nuklia? Au Atakuelewa ukimwambia aachane na nuklia? Gadafi aliachana na silaha za nuklia leo yuko wapi?
Kinachomsumbua Marekani ni kuwa anajisikia fedheha sana kuvimbiwa na dogo na kujikuta hana namna ya kufanya!
Suluhisho ni moja tu, nalo ni kukubali kuwa Dogo keshakuwa mkubwa mwenzake na hivyo waishi kwa kuheshimiana, wala siyo kutishana! Kama asivyoweza kumtisha Putin, pia akubali kuwa wakati wa kumtisha Dogo wa kipanki umekwisha!
 
MTOTO WA KUKU

JF-Expert Member
May 3, 2012
2,596

Muda ukifika tutaongea

Send via Quan dong fen from north Korea
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom