kama yeye kidume hayarushe kwenye ardhi ya japan au marekaniSafi sana N Korea,wasikubabaishe hao mabinti hawana lolote, after two days tunataka urushe yale makubwa zaidi...pumbaff
Nahisi wanafanya uvuvi haramu.Hawana jipya hao.
Kila siku kurusha makombora baharini. Sijui wanadhani wanamtisha nani tu.
kama yeye kidume hayarushe kwenye ardhi ya japan au marekani
Waoga tu hao kwani wangekua na uwezo wangepiga nchi yoyote kama Japan waone mziki
N Korea ni waoga watu waoga wana dalili za kujidefend
Hawa ni wakuwapuuza