maroon7
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 11,144
- 15,146
Ungebaki kwa kuwa ni mtu wa kujipendekeza ama?
Waziri aliesinzia aliuawa kwa kuwa alikua hajipendekezi ama?
Ungebaki kwa kuwa ni mtu wa kujipendekeza ama?
Waziri aliesinzia aliuawa kwa kuwa alikua hajipendekezi ama?
Umesahau kutaja na girlfriend wake 2013, aliyeuawa hadharani na firing squad?Hivi huyu dikteta wa Korea Kaskazini ni Kim Jong Un ni mwehu? Mwezi Mei mwaka alimuua hadharani Waziri wake wa Ulinzi kwa kosa la kusinzia wakati yeye akihutubia, mwaka juzi alimuua mjomba wake kwa kumhisi kutaka kumpindua na hivi karibuni kamuua Naibu Waziri mkuu wake kwa kutofautiana naye juu ya sera ya misitu.
Yeye anasimamia kupunguza idadi misitu kwa sababu nchi imekuwa pori na Rais hataki, hilo tu kagongwa risasi hadharani.
Huyu angekuwa huku kwetu rushwa ya uchaguzi ingejifuta yenyewe.
Huyu dogo kama angekuwa rais wa Tz sijui kama tungesalimika manake angetumaliza kabisa!!!!
Umesahau kutaja na girlfriend wake 2013, aliyeuawa hadharani na firing squad?
Hakuna aliye salama nchini humo!
Eehh Mungu tujaalie na sisi Watanzania tupate kiongozi mwenye uthubutu kama huyu ili mafisadi yakimbie nchi na kurudisha heshima ya taifa hili.
dogo nouma kosa kidogo tu unajaa kwenye jeneza. , hataki mchezo
Huyo jamaa naamini ipo siku nae ataingia kwenye mikono ya mabandidu zaidi yake tena hapo hapo Nchini kwake,muosha huoshwa.