mitambo ya thaad haijakmilika, mpaka 2018Japo kuwa mitambo ya thaad yamefungwa s.korea sidhani kama yanaweza kuzuia silaha zote
Silaha zake zote anazitumia kupiga seoul tu ,tuone kama mbwai mbwai tu
Inawezekana test imefail lakini hao south huwa siwaamini sana sababu ni watu wa propaganda sana
Yaan trump anaaibika sana amesogeza meli kubwa halafu kijana anamdhalilisha saiv tunaambiwa amepewa taarifa yahilo jaribio akakaa kimya yaan huyu rais atakua kama mr bean muda sii.mref
Hata hivyo mkuu swala lilikuwa ni onyo la kutotest haijalishi lifeli su lisifeliHakuna kilicho fail hapo, huo ni mchezo wa akili tu, mtuu aingie mazima mazima apigwe za uso.
Mkuu sio kwel kwasababu wote tunamjua trump nimtu wa wenge naasie nyamaza naalimuonya vyakutosha dogo asijaribu tena kutest makombora mpaka akasogeza na meli zakivita akaziweka tayar lakin dogo ndokwanza kwadharau analipua we unafikir nn kinatokea hapo.nikama unaoga bafun halafu kichaa anakuja kubeba nguo zako unatoka bafun kumfukuza au unabaki bafun kiukwel niaibu sana kwatrump kumtisha mtu amba hakua anajua kua hatishiki sasa anamuaibisha kinoma.kama kuna kitu hajakisoma kutoka kwamarais wenzake waliopita ambao walikua nabusara toka miaka ya 50 korea ikileta matata sasa rais huyu atakua amejifunza maana kila alilolidharau wenzake walilolifanya nae saiv anafanya kama wenzake nahuko tuendako mkuu huyu rais atakua kama piriton
Niliangalia documentary moja, hawa jamaa wanaishi maisha ya shida sana, serikali inatumia pesa nyingi kujiweka sawa ki jeshi na maisha ambayo nchi nyingine ni ya kawaida wanapata maofisa wa serikali tu. Wakulima wanakula mlo mmoja kwa siku.Imethibitika leo nuke yake ni uchwara. Sasa wanaweza kumshushia kipigo cha kufa mtu, ila bado wana wasi wasi ana madude gani mengne ambayo anaweza akatumia. Akijaribu kutest nuke kwa mara nyingine tena ikifail basi imekula kwake sidhani kama atamaliza mwaka huu akiwa madarakani. Kana kelele sana haka ambazo zinaweza kabisa kukaponza kakaishia kupata kichapo.
Niliangalia documentary moja, hawa jamaa wanaishi maisha ya shida sana, serikali inatumia pesa nyingi kujiweka sawa ki uchumi na maisha ambayo nchi nyingine ni ya kawaida wanapata maofisa wa serikali tu. Wakulima wanakula mlo mmoja kwa siku.
Niliona kulikua na sehemu ambayo ilikuwa na barracks za Mwingereza, majirani wa hiyo sehemu wanaishi maisha duni sana. Walijengewa nyumba miaka ya 70 wakati ujamaa uko kwenye peak period, na wakati huo walipata umeme wa bure kutoka serikalini lakini siku hizi hawapati tena, fikiria wanaenda kuchota maji kama kule kwetu kwa Mtogole na ndoo, afadhali kule kwetu tuna vyoo vya shimo ambavyo viko more economy when it comes to water, wao maji ndiyo ya kuflashia vyoo na wakati wa baridi yanakuwa yameganda.Niliona juzi kawakaribisha waandishi wa vyombo mbali mbali kutoka nchi za magharibi ili kuonyesha ubabe wake. Cha kushangaza hakutaka waende nje ya mji wao Mkuu Pyongyang bila ya shaka kuficha siri ya maisha duni sana huko uswekeni ya Korea Kaskazini.
Niliangalia documentary moja, hawa jamaa wanaishi maisha ya shida sana, serikali inatumia pesa nyingi kujiweka sawa ki jeshi na maisha ambayo nchi nyingine ni ya kawaida wanapata maofisa wa serikali tu. Wakulima wanakula mlo mmoja kwa siku.
Niliona juzi kawakaribisha waandishi wa vyombo mbali mbali kutoka nchi za magharibi ili kuonyesha ubabe wake. Cha kushangaza hakutaka waende nje ya mji wao Mkuu Pyongyang bila ya shaka kuficha siri ya maisha duni sana huko uswekeni ya Korea Kaskazini.
Niliona kulikua na sehemu ambayo ilikuwa na barracks za Mwingereza, majirani wa hiyo sehemu wanaishi maisha duni sana. Walijengewa nyumba miaka ya 70 wakati ujamaa uko kwenye peak period, na wakati huo walipata umeme wa bure kutoka serikalini lakini siku hizi hawapati tena, fikiria wanaenda kuchota maji kama kule kwetu kwa Mtogole na ndoo, afadhali kule kwetu tuna vyoo vya shimo ambavyo viko more economy when it comes to water, wao maji ndiyo ya kuflashia vyoo na wakati wa baridi yanakuwa yameganda.
Kaka asante umesema kweli always wanaongea negatively about poor country waseme na ukweli na mazuri yetuHizo zote ni propaganda za western media, Ninyi mmetembea na kusoma nchi za wenzetu, tuambieni hapa mlishawahi kuona Tv za huko wakionyesha maisha mazuri /mambo mazuri ya Afrika?
Mlishawahi ona Samora Avenue, Sokoine Drive, Azikiwe Street, Nyerere Road, au maeneo yoyote mazuri ya nchi zetu?
Ila hizi habari wamezitoa south korea isije ikawa propaganda za USA baby
Tatizo ni pale SIMBA anaposhindwa kuelewa confidence ya FISI imetoka wapi.unaweza kukuta N. Korea hana lolote ila MIKWALA TU. Na ukute siku anapigwa kirahiiiisi hadi Marekani ijiulize ilikuwa wapi miaka yote hiyo.Imethibitika leo nuke yake ni uchwara. Sasa wanaweza kumshushia kipigo cha kufa mtu, ila bado wana wasi wasi ana madude gani mengne ambayo anaweza akatumia. Akijaribu kutest nuke kwa mara nyingine tena ikifail basi imekula kwake sidhani kama atamaliza mwaka huu akiwa madarakani. Kana kelele sana haka ambazo zinaweza kabisa kukaponza kakaishia kupata kichapo.
Humo ndani kulingana na ulivyoandika kuna jambo ambalo umemvua nguo SIMBA kwa kiwango cha hali ya juu kabisa. For 50yrs ya kutunishiana misuli USA hajui ni nini NK anamiliki ni kushindwa mbinu kwa kiwango cha juu kabisa. Na kama hivyo ndivyo mnakubaliana na ukweli kwamba NK ni msiri sana hasa linapokuja swala la ulinzi na usalama wa mipaka yake.Tatizo ni pale SIMBA anaposhindwa kuelewa confidence ya FISI imetoka wapi.unaweza kukuta N. Korea hana lolote ila MIKWALA TU. Na ukute siku anapigwa kirahiiiisi hadi Marekani ijiulize ilikuwa wapi miaka yote hiyo.
Sometime Mikwala inasaidia sana