Ndio Break News kwa sasa all over the World ila Kim mjeuri jaman khaa..!!
America won't do anything as even themselves were aatonished and suprised to see North Korea had missiles tena Submarine capable of being launched to every corner of Washington! Wamekiri hawakuwa wanafahamu so Trump no matter anataka au hataki watamshauri tu afikirie mara mbili kuishambulia Korea.
Huyu mtoto hapana asee, kawashika pabaya.
Kwa mwendo huu na ujeuri huu wakithubutu kumshambulia anaweza kubonyeza Nuke.
Siyo kwamba amaweza, mweleweni vizuri sana NK (sio yule mtoto) kwa Historia yake alishakataa kuonewa/kushambuliwa kimabavu. Atawajibu kwa nguvu kubwa sana bila kuchelewa. Jambo la kuzingatia hapo ni kwamba nuke ikifyatuliwa haina mdogo wala mkubwa. Tahadhali imetolewaHuyu mtoto hapana asee, kawashika pabaya.
Kwa mwendo huu na ujeuri huu wakithubutu kumshambulia anaweza kubonyeza Nuke.
Imethibitika leo nuke yake ni uchwara. Sasa wanaweza kumshushia kipigo cha kufa mtu, ila bado wana wasi wasi ana madude gani mengne ambayo anaweza akatumia. Akijaribu kutest nuke kwa mara nyingine tena ikifail basi imekula kwake sidhani kama atamaliza mwaka huu akiwa madarakani. Kana kelele sana haka ambazo zinaweza kabisa kukaponza kakaishia kupata kichapo.
White House is expected to make a written statement soon.
Ndio Break News kwa sasa all over the World ila Kim mjeuri jaman khaa..!!
America won't do anything as even themselves were aatonished and suprised to see North Korea had missiles tena Submarine capable of being launched to every corner of Washington! Wamekiri hawakuwa wanafahamu so Trump no matter anataka au hataki watamshauri tu afikirie mara mbili kuishambulia Korea.
Wazungu wa Kolomije (ukoloni kitu kibaya sana hasa ukiwa hujitambui) mie nilifikiri hamfahamu kabisa kiswahiliHuyu mtoto hapana asee, kawashika pabaya.
Kwa mwendo huu na ujeuri huu wakithubutu kumshambulia anaweza kubonyeza Nuke.
Siyo kwamba amaweza, mweleweni vizuri sana NK (sio yule mtoto) kwa Historia yake alishakataa kuonewa/kushambuliwa kimabavu. Atawajibu kwa nguvu kubwa sana bila kuchelewa. Jambo la kuzingatia hapo ni kwamba nuke ikifyatuliwa haina mdogo wala mkubwa. Tahadhali imetolewa
Naona Trump ame take high road this time na hajasema mengi tena kupitia msemaji. Kwamba kapata taarifa and then, "no further comment"
Waungwana tuwe tunaangalia na upande mwingine wa shilingi, huenda hizo habari ni propaganda za Western.
Na media nyingi kama si zote zinamilikiwa na Western.
Hapa ndo sielewi vizuri, kwamba kwa miaka yote hiyo NK awe anamiliki "manati"? Hebu wasitengeneze mazingira ya kutaka umma ushituke kama baadhi humu wanavyoichukulia poa NK as if imeanzia kwa Kim Jong-Un. Hawa wamejizatiti kwa muda mrefu and once again I repeat - HAWATANII."• At this point, US military officials don't believe the missile had intercontinental capabilities, a US defense official told CNN. The official said the missile blew up so quickly there is limited data."
Hapa ndo sielewi vizuri, kwamba kwa miaka yote hiyo NK awe anamiliki "manati"? Hebu wasitengeneze mazingira ya kutaka umma ushituke kama baadhi humu wanavyoichukulia poa NK as if imeanzia kwa Kim Jong-Un. Hawa wamejizatiti kwa muda mrefu and once again I repeat - HAWATANII.