North Korea accidentally lets world access its internet and it only has 28 websites

North Korea accidentally lets world access its internet and it only has 28 websites

Kuna watu hata yanayondelea mtaani kwake hajui ila anayajua ya Korea kask kana kwamba alishawahi kufika huko na ukitaka kujua mali na historia ya tajiri yeyote muulize masikini atakupa kila data zake
 
Hahaa watu bwaana kwa maneno wameshinda. Ambiwa watakula kitanzi kama wanaishi hiyo nchi wakati yeye mwenyewe anaishi porini hata mambo yanayoendelea tz hayajui kisa kasikia habari cnn au abc. Ndugu punguzeni ul*z* sio kila maneno mnameza.
 
Back
Top Bottom