NOMINATION PROCESS ndani ya CCM 2015:Asante Kikwete

Yetu Sote

Member
Joined
Jan 23, 2013
Posts
54
Reaction score
9
Ndugu Mwenyekiti CCM taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Jakaya M Kikwete salaam sana.
Napenda kuchukua nafasi hii kukushukuru wewe binafsi pamoja safu nzima ya uongozi iliyochini yako kwa maamuzi sahihi mliyoyachukua na kupelekea kupatikana Tatu Bora(Magufuli,Amina na Migiro),kwa hili nasema asante na kwa niaba ya wajukuu zangu watarajiwa ninakushukuru.
Sijutii tena uamuzi wangu wa kukushabikia na kukupigia kura mwaka 2005.KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!
 
Anastahili pongezi kwa hatua hii na kwa kweli hakuna aliyetarajia haya. Maneno yalikuwa ni mengi mno kuhusu jk na hatma ya ccm.
 
Tunashukuru sana My.Rais kuwasaidia wa Tanzania kuondokana na Genge la wana mtandao,Tunashukuru Mwenyezimungu kumuongoza My.Rais
 
Duh watu sampling enu ndo mnaelewaga nadhani kwann tanzanite haitufaidishi
 
Ndugu Mwenyekiti CCM taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Jakaya M Kikwete salaam sana.
Napenda kuchukua nafasi hii kukushukuru wewe binafsi pamoja safu nzima ya uongozi iliyochini yako kwa maamuzi sahihi mliyoyachukua na kupelekea kupatikana Tatu Bora(Magufuli,Amina na Migiro),kwa hili nasema asante na kwa niaba ya wajukuu zangu watarajiwa ninakushukuru.
Sijutii tena uamuzi wangu wa kukushabikia na kukupigia kura mwaka 2005.KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!

Kikwete anastahili pongezi kwa kuliua kundi la mtandao.
nafikiri madhala yake ameyaona,
Kwani hata yeye hao ndio waliomuingiza madarakani.

Ni hatari kwa nchi kuwa na madalali wa nafasi za kiutawala.
 
Ndugu Mwenyekiti CCM taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Jakaya M Kikwete salaam sana.
Napenda kuchukua nafasi hii kukushukuru wewe binafsi pamoja safu nzima ya uongozi iliyochini yako kwa maamuzi sahihi mliyoyachukua na kupelekea kupatikana Tatu Bora(Magufuli,Amina na Migiro),kwa hili nasema asante na kwa niaba ya wajukuu zangu watarajiwa ninakushukuru.
Sijutii tena uamuzi wangu wa kukushabikia na kukupigia kura mwaka 2005.KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!

Pongezi wapewe wazee.. Yeye alikua amekomaa na yule kilaza wenu, akadhani ataweza kushindana na mamvi
 
Nafuu lowassa kakatwa...membe wamemtia aibu kwa kumpigia kula chache meaning hakubariki hata ndani ya chama chake, mnafiki sana huyu mtu...mi nimefurahi sana

kuwatoa membe na lowassa haikuwa kazi rahisi.
 
[h=2]
icon1.png
Re: NOMINATION PROCESS ndani ya CCM 2015:Asante Kikwete[/h]
Kwani rais ndiye anayeteua mgombea?

lakini ana influence kubwa katika maamuzi!​

Back
Top Bottom