Nombeni ushauri jamani

Nombeni ushauri jamani

Kali Kenye

Member
Joined
Dec 4, 2013
Posts
22
Reaction score
6
Mie ni kijana wa miaka 24, ni mwanafunzi wa udaktari mwaka wa 3 ktk chuo kikuu cha kcmc, nina mpenzi wangu ambae tumekua kwe love toka form 5, lakin nmetokea kumpenda housegirl wetu. nahisi kuchanganyikiwa na penzi la mtoto uyu wa kitanga. NAOMBENI USHAURI.
 
Fuata vile moyo unapenda msichana wa kazi nae ni binadamu kama binadamu mwingine
 
Penzi ndo limekuchanganya mpaka unataka kubadili maamuzi au?

Mfundishe mwenzio mautundu na uache kutanga tanga

...me ningekushauri ukomae kwanza na kitabu
 
Usingeonja kwa huyo dada wa kazi wala usingepata shida ya kuwa compare!!
Umeelewa sasa kwa nini michepuko haishauriwi kuwepo?
 
Ukifika kazini napo utakutana na nesi utakuja kutuambia nae pia ni moto moto, kwhyo tukupe ushauri
 
Mie ni kijana wa miaka 24, ni mwanafunzi wa udaktari mwaka wa 3 ktk chuo kikuu cha kcmc, nina mpenzi wangu ambae tumekua kwe love toka form 5, lakin nmetokea kumpenda housegirl wetu. nahisi kuchanganyikiwa na penzi la mtoto uyu wa kitanga. NAOMBENI USHAURI.

​shauri wangu ni muoe, endelea naye huyo huyo mtoto wako wa kitanga.
 
Pole Daktari mwenzangu.Kama kweli unampenda Kwa dhati Houe girl, basi endelea nae ila jiandae kukumbana na upinzani mkali toka Kwa wazazi,ndugu,jamaa na marafiki.Utaambiwa Dokta mzima unamchukua House girl!
 
Mapenz bana hayanaga formula,penda pale moyo wako ulipodöndokea,maneno ya watu na vingine ni mbwembwe,kwan housegal ana alama usoni?ebu mchek joyce kiria housegal aliyestaafu anavyojikubali!
 
Acha utoto ww inaonyesha ndo umejifunzia kwake, hebu jaribu kwa wanachuo wenzio tuone,
ANGALIZO, usije ukasahau shule ukafeli, shule ni mhm zaidi!
 
Kator mahari tanga ujilie kilaini. Ujistress na shule, na mapenzi pia?!
 
Mapenz bana hayanaga formula,penda pale moyo wako ulipodöndokea,maneno ya watu na vingine ni mbwembwe,kwan housegal ana alama usoni?ebu mchek joyce kiria housegal aliyestaafu anavyojikubali!

hadi wew e unashauri wanafunzi kuwa kwenye mahusiano?
 
Mzee shule ilivyokuwa na stress hiyo..tulia kwenye shule zaidi..kula ma- anatomy, ma- biochem, ma- physiology, ma- pathology kwanza kwa undani stress nyingine achana nazo..shule kwanza chief, house girl endelea kupoozea stress, girl friend wako usivunje promise mlioyowekeana mda mrefu..kula shule kwanza MD ni ngumu mkuu
 
uwe unatembea mkononi na Biblia Takatifu au Korani Tukufu. Utaacha uzinzi.
 
Awali ni awali tu, kuhamia kwa housegirl ni tamaa tu kwa vile yupo home unamvuta tu chumbani ila yote kwa yote uamuzi ni wako mwenyewe dokta
 
Wakulaumiwa ni mkuu wa kcmc kuendelea kuwa na mwanafunzi kama wewe.
 
Back
Top Bottom