Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,929
- 40,599
Usijali kabisa
Mkuu wallahi una dhambimimi nataka asiyejua chochote kitandani, hata asipojua kupika nalo sio tatizo tutafundishana.
ukiwa vizuri kitandani kupitiliza inanipa maswali sana.
Hupendo huvuvumilia yote, ntakuvumilia ukijifunza kupika nikiwa mwalimu wako.
Thad
Ndio maana nakupenda [emoji8]mimi nataka asiyejua chochote kitandani, hata asipojua kupika nalo sio tatizo tutafundishana.
ukiwa vizuri kitandani kupitiliza inanipa maswali sana.
Hupendo huvuvumilia yote, ntakuvumilia ukijifunza kupika nikiwa mwalimu wako.
Thad
[emoji23] [emoji23] [emoji23]yap hapo roho yangu kwatu[emoji23]
Ilibidi wife awe anamsaidia kupika huku akimfundisha, jamaa alkua akimletea kila kitu apike vizuri lkn alkua akimwaga chakula maana mmewe alkua akishindwa kula, siku aliyoanza kupikiwa na wife(ila mmewe alkua hajui) jamaa alifarahi balaa akampa na sh laki 1 akaja kumpa wife 50.Mbinu gani alipewa?
Mi nikupate mara ngapi sasaPambaneni atakayeshinda atanipata
Cc KingY
Nitumie nauli niifate[emoji7]kazi nimeiona
And kuhusu pesa wala sio tatizo. Njoo tu uijie,mi sio bahili kabisa,
Kwako sisemi no
Jibu lako nimelipenda kungwi wangu![emoji122] [emoji122] [emoji122]Pata teuzi kwanza halafu ndio urudi kwake hatutaki kulea marioo
[emoji23] [emoji23]Huko kitandani kwenyewe najua kulala na kujifunika tu[emoji23]
Ebu fanya ukuje huku PM nikukague kwanza....[emoji39] [emoji39] [emoji39]Nichukue mimi ukanifundishe yote nisiyoyajua
Huko kitandani kwenyewe najua kulala na kujifunika tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] MMU naona imevamiwa na ya jukwaa pendwa, ngoja nimuite wife aje kuongeza maujuzi,
cc@mamawa2 [emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nishapona, hujaona wenzangu walivyonifunza?Bila shaka wewe ndio MSIBA anaozungumzia mleta uzi, Pambana kabla mazishi hayajafanyika
Unataka wana jukwaa wakajazane Tanga eehh!??..
Nawaonaa!!... Nikimleta katibu wetu wa kanda NN hapatakalika hapa!..
Kumbe wewe ni meNdio natafuta mchumba....tehteehh
Jibu lako nimelipenda kungwi wangu![emoji122] [emoji122] [emoji122]