Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,370
- 2,715
- Thread starter
-
- #341
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nitarudi baadae mkuuKwamba mke kama hajui kupika, basi hakumu yake ni talaka...tehteehh
Sasa wahivi akimfumania mkewe, sindio atamuhukumu auwawe kabisa...[emoji52] [emoji52]
Heshima yako mkuu, upo?Mkuuuuuuu
Mie naachana nae tu mkuu silishwi mazagazaga mimi...uvumilivu una kikomo chake piaOkay, kwahiyo unataka niamini kwamba mke kama alitoka nyumbani kwao na hajui kupika ugali na mlenda, basi huyo dawa yake ni talaka kwasababu hata ukimfundisha na kumuelekeza hawezi akaelewa...[emoji53] [emoji53] [emoji45] [emoji45]
Mkuu, binafsi sikubaliani na hii hoja ya kufukuza mke kwakua tu eti hajui kupika.
Hili swala la kumuhuku mke kwamba hajui kupika (hajui kupika nini) ni jambo la kulitazama kwa jicho la 3. Kwasababu watu tumetoka kwenye familia na mazingira tofauti sana.
Kwamfano wapo waliotoka kwenye familia zilizo kula Pizza & Juice, Ndizi/Mtori & Chai, Wali & Nyama, Ugali & Mlenda, Makande & Njegere and Ect:
Sasa kidogo napata ugumu sana kukabiliana na hili la kwamba mke afukuzwe eti kwasababu hajui kupika.
Safi sanaaaNi kweli, na hata kabla huyo dada alikua akitaka amlipe lkn wife akakataa, ila baadae jamaa alimpa wife laki 2,
DuuhVyote tunataka, vinginevyo utaachwa na chura wako
Alikua akimpenda sana mkewe sema ndio kupika hajui na mimba zikawa zinagoma kunasa ndo akataka kumuacha.Safi sanaaa
Vyote vyote @lukyline: mimi napenda karibuSasa hivi chura hamtaki mnataka mapishi?
Nipo mkuu Sesten Zakazaka: ubusy tu kiongoziHeshima yako mkuu, upo?
U busy ndio unaotakiwa mkuu kinyume na hapo watoto watakua hawaendi toilet ku potiπππNipo mkuu Sesten Zakazaka: ubusy tu kiongozi
Dah... Sasa waliosomea upishi sijui wafanye kazi gani....[emoji41]Mwanamke usipojua kupika ni msiba
Mkubwa sana kwenye nyumba yako!!!
Fanya hima HajarHahahaaa. Yabidi nikupikie siku moja jamaani ili hamu yako iishe.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]U busy ndio unaotakiwa mkuu kinyume na hapo watoto watakua hawaendi toilet ku potiπππ
Basi naunga mkono hoja...[emoji30][emoji30][emoji30]Mie naachana nae tu mkuu silishwi mazagazaga mimi...uvumilivu una kikomo chake pia
Kama kalikimbia jiko kwa wazazi wake toka utotoni mie nitamuweza wapi
hahah simtaki kanishinda tabia huyu