47pro
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 1,204
- 332
Nakumbuka kitambo nikiwa primo niliwahi beba chakula(iyo day nilibeba kuku na chapo) nanilikua nimeplan vile nitaflossia kale kacrush kangu ka class four. Izo masiku nakumbuka tulikua tunatumia kasuku ya mafuta ya mboga kama lunch box tukienda shule.Sasa,on this material day, nilikua naringa sana hadi nikaambia chopi wa daro anifanyie assignment alafu lunch time ikifika nitamshughulikia na kiwing kimoja cha kuku. Iyo siku nikakua an instant Celebrity kwa class. Hata hako kacrush kangu kakaanza kunitupia masmile zingine mwenda nikajua bassss,,mambo yangu ishakua sawa.
Nakumbuka hataniliambia prefect wa class anivute kwa list ya noise makers na late comers alafu kilanchielle kikifika atapata zigwembe ya kuku. Kila mtu alikua ananiworship kwa class msee.Ikafika lunch time.... nikajua ata sitakula nasitatoka daro hadi wasee warudi classes alafu iyo afternoon preps ndio nianze kula my yummy food. kengele ikalia ya kumaliza lunch break,,wale wasee wote nilikua nawa-owe a piece ofchicken wakagather around my locker....nikatoa kasuku yangu ya food....nikatoa kijiko alafu nikafungua ati ndio nimange. Hapo ndio nikapata nilikua nimesahau nikabeba mafuta ya mboga nikaacha chakula...