mikumiyetu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 1,312
- 947
Sa niweke code zipi wakati sijawai seti kitu kama hichoWeka code mkuu
Weka 1234 au 0000Wadau habari simu yangu ya nokia ya tochi jioni ya leo naiwasha inaniambia niweke security code wakati sijawai set kitu kama hicho nini suluisho lakeView attachment 849720
Sent using Jamii Forums mobile app
Zimegoma mkuuCode za kawaida nokia (kama haijawahi kubadilishwa) ni 123400 jaribu hiyo
Hiyo cm ni yako?
Simu ni yangu niliweka code kipindi nimetoka kununua,lakin nilishaondoa iyo code kama miezi mitatu nyuma,sasa leo ilizima chaji baada ya kuitoa chaji ndo nawasha nakuta ivyo na hata nikiingiza zile code ambazo nilikuwa natumia kipindi cha nyuma nazo zinagomaHiyo cm ni yako?
Na kama ni yaki je!uliwahi kuweka code ?kama hujawahi kuweka na umeweka hizo ikakataa nenda kai flash ni sh.5000 sio hela nyingi
Hiyo laini ulioweka kwenye cm leo ndio ulokuwa unatumia kipindi imeweka code kipindi hicho?kama sio ebu jaribu kurudishia huko (japo code ni ya cm sio card) uingize tena hizo code za kipindi hicho kama ikikataa hapo ni ku flash tuu hakuna tena ujanja mwingineSimu ni yangu niliweka code kipindi nimetoka kununua,lakin nilishaondoa iyo code kama miezi mitatu nyuma,sasa leo ilizima chaji baada ya kuitoa chaji ndo nawasha nakuta ivyo na hata nikiingiza zile code ambazo nilikuwa natumia kipindi cha nyuma nazo zinagoma
Sent using Jamii Forums mobile app
Sama ngoja nijaribuHiyo laini ulioweka kwenye cm leo ndio ulokuwa unatumia kipindi imeweka code kipindi hicho?kama sio ebu jaribu kurudishia huko (japo code ni ya cm sio card) uingize tena hizo code za kipindi hicho kama ikikataa hapo ni ku flash tuu hakuna tena ujanja mwingine
Mkuu shukran nimefata maelekezo yako haya baada ya kuweka laini imewaka tu aijadai code asanteHiyo laini ulioweka kwenye cm leo ndio ulokuwa unatumia kipindi imeweka code kipindi hicho?kama sio ebu jaribu kurudishia huko (japo code ni ya cm sio card) uingize tena hizo code za kipindi hicho kama ikikataa hapo ni ku flash tuu hakuna tena ujanja mwingine
Weka 12345 hizi uwa ni za NokiaWadau habari simu yangu ya nokia ya tochi jioni ya leo naiwasha inaniambia niweke security code wakati sijawai set kitu kama hicho nini suluisho lakeView attachment 849720
Sent using Jamii Forums mobile app