kaka kuna tetesi mwezi wa 5 mpaka wa 7 kunatoka midrange ya Nokia android yenye specs kubwa zaidi.
.....
Hivi issue ya Nokia kununuliwa na Microsoft kwani imeishia wapi? Si nilisikia mwaka huu mwanzonii Nokia wanaacha kutengeneza Asha na Lumia, wanaendeleza Feature Phone, Software, na bidhaa ndogo ndogo kama Torch, Radio, etc?
Simanishi kwenye mauzo no na maanisha kuingia mkataba wa kutoa window phone sio siri kabugi nilichukua lumia 800. Dah kumbe hamna kitu kaweka uwezo mkubwa wa kamera tu,nimetumia wiki tu nimeipaki kwenye kabati.
chief-mkwawa jamaa wa jola wamewaambia watu wanaorudisha samsung ili wapewe nokia waache maana sailfish inakuwa ported to samsung older phones. Kwa iyo wale wa galaxy s1 wataweza kubadili os
.
Mtoto akifanya makosa kwa baba....
Alafu akajifanya analeta jeuri huwa anaachwa...
.
Baadae akigundua hataanza moja kwa moja kwenda kwa baba bali utamuona akifua suruali/mashati ya baba bila kuambiwa yeye mwenyewe tu atajifanya anajitolea
.
Lakin inapaswa asamehewe mana kaisha tambua makosa yake
.
Nokia hawezi kuanza na Google moja kwa moja mwache tu ajisafishe kwanza... Na AOSP
Kwa kosa alilolifanya la kubase na WP
.Ku base na Windows Sio Tatzo ndo linalo mgharimu nokia........... Mbona Samsung, Htc, ZTE, Huawei pia wanatumia windows............ wana android pia Wale wanatofaut zao tofaut... remember pia android inaingia mjini pia Symbian ya nokia ndo ilikua babalao hakuna anaepingaso nokia asingeweza hama.. ilmbid ashindane had anaposhindwa... pia Kuna ushindan kwenye nokia map na google map google never defeat
Em acheni kua excited... Hii ni romored hakuna aliyeprove hilo.. site zote wanasema ni romored ila jamiiforums tu ndio nashangaa mtu anakuja na kusema ana uhakika na hilo. huo uhakika yeye ndio anashughulikia project hiyo huko Nokia au?
Em acheni kua excited... Hii ni romored hakuna aliyeprove hilo.. site zote wanasema ni romored ila jamiiforums tu ndio nashangaa mtu anakuja na kusema ana uhakika na hilo. huo uhakika yeye ndio anashughulikia project hiyo huko Nokia au?