Nokia Secret Codes

nimejaribu kwa option ya kwanza naona imefail, niaje kuhusu hiyo ki2 ya firmware mkuu?
mkuu kuna njia mbili utaweza kuUpdate firmware ya simu yako...

i) To update your phone's software using Nokia Suite on your PC:

1. On your PC, open Nokia Suite and connect your phone,
2. In Nokia Suite, select Tools > Software updates.
3. From the list of available updates, choose what you'd like to install.


ii) Pia unaweza kuDownload Nokia Software Updater kwenye hii link (http://nds1.nokia.com/files/support/global/phones/software/NokiaSoftwareUpdaterSetup_EN.exe) then ukaInstal kwenye computer yako, then connect simu na computer alafu maelekezo mengine kuhusu hii process utayakuta kwenye Software Updater..hii Software Itakusaidia kuIdentify firmware version inayotumika kwenye simu na pia itakuonyesha Current firmware ya kuUpdate alafu utaiUpdate kwa hapo....
 
ni kweli drphone, lazima timing ya kuhold hizo buttons iwe sahihi....
 

mkuu namwonea huruma kwa njia kama ile nyepesi tu kachemka uku tunamwacha mbali sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…