Nokia pie updates roadmap

Usisahau kuwa Juho Sarvikas ndiye Chief producer Officer.Yuko Twitter.Ukitaka updates zote za Nokia mfuatilie huyu jamaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Okay, Android imemrudisha Nokia kwenye ushindani, baada ya HMD global kuiuza Nokia kwa Microsoft na kuinunua tena, vp ubora wa ubora wa Nokia bado ni ule ule ukilinganisha na awali wakati ikimilikiwa na Microsoft?
 
Nokia 9 Pure View itakuwa na camera hatari sana, itafunika hata Huawei Mate 20 Pro.
 
Okay, Android imemrudisha Nokia kwenye ushindani, baada ya HMD global kuiuza Nokia kwa Microsoft na kuinunua tena, vp ubora wa ubora wa Nokia bado ni ule ule ukilinganisha na awali wakati ikimilikiwa na Microsoft?
Hata microsoft hakuwa akitengeneza simu nzuri, Nokia ni Nokia na hakuna ambae ana craftmanship kama yake.

Na HMD global hajaiuza Nokia, bali Nokia ameuza department yake kwa Microsoft, Na HMD pamoja na Foxconn wakanunua. Foxconn amenunua Viwanda na HMD akanunua patents na haki nyengine, Then waka licence jina la Nokia kwa Nokia mwenyewe.
 
Sawa chief. Kwann haupendi Notch Screen? Wakati ni screen zenye muonekano wa kisasa kwenye simu janja. Nini maoni yako?
 
Sawa chief. Kwann haupendi Notch Screen? Wakati ni screen zenye muonekano wa kisasa kwenye simu janja. Nini maoni yako?
1. Lazima app iwe optimized kama haipo optimized ni majanga kutumia hasa ukiwa unafanya kitu landscape.

2. Ikiwa optimized most of time huacha eneo la display ambalo halitumiki.

3. Vitu vingi duniani vipo kwenye aspect ratio ya 16:9 ambayo simu za notch haina.

4. Notch inaziba eneo kubwa la notification.

Ukiwa unaitumia simu yako serious utaona inavyokera.
 
Shukrani kwa darasa mkuu. Vipi kwa upande wa Water Drop Notch, bado shida ni ile ile kama kwenye Notch za kawaida? Maana naona makampuni mengi wamehamia Water Drop Notch,... ikiwemo Samsung, Xiaomi, Oppo, etc.
View attachment 1010199
 
Attachments

  • mob-section-5-04.png
    45.6 KB · Views: 33
Chief mkwawa ivi izi android version kazi yake kubwa ni nini hasa katika simu. kuna kuwa na tofauti gani kati ya simu yenye android 7 na yenye android 8 au 9.na mfano kama unavo update simu kutoka android nane kwenda tisa kuna kuwa na vitu gani vinaongezeka?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa natumia Grand prime plus.Tangu nihamie Nokia,nimeshawishika kubaki huku huku.Sina uhakika kama nitarudi tena Samsung galaxy.

Sent using Jamii Forums mobile app
Samsung Galaxy Grand Prime ni simu ya kiboya sana ....
Internal storage ni 8 Gb including android OS o unajikuta umebakiwa na Gb 3 na bado hapo kuna built in app...

Sent from my SM-G532F using Tapatalk
 
Shukrani kwa darasa mkuu. Vipi kwa upande wa Water Drop Notch, bado shida ni ile ile kama kwenye Notch za kawaida? Maana naona makampuni mengi wamehamia Water Drop Notch,... ikiwemo Samsung, Xiaomi, Oppo, etc.
View attachment 1010199
Hio ina uafadhali ila still inazingua mkuu. Na hapa tunapita tu, maana tunapokwenda ni full bezell less phone sijui viganja vyetu vitakaa wapi.
 
Kuna kitu kinaitwa changelog huwa kampuni inatoa pindi version.mpya ikitoka. Hio huonyesha mabadiliki gani yametokea walipotoka version ya zamani kuja version mpya.

Mfano unaweza ukaangalia hapa vitu vipya vilivyoongezeka toka android 8 kuja android 9

44 Cool New Features & Changes in Android 9.0 Pie « Android :: Gadget Hacks
 
Ni vile vile mkuu disadvantage hazibadiliki, App lazima iwe optimized gundua hilo hole ama eneo lote kiupanda/urefu lizibwe na os.
Duuuh basi tabu kweli kweli.... Mi naona waliofanya idea ya motorized au slide displays kwa ajili ya kuficha front camera ni afadhali zaidi kama oppo x na wengineo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hio ina uafadhali ila still inazingua mkuu. Na hapa tunapita tu, maana tunapokwenda ni full bezell less phone sijui viganja vyetu vitakaa wapi.
Bezel less kama Mi Mix 3? Ngoja tutoke Notch tuhamie huko.
 
Attachments

  • 318C0DA6E7606E44.png
    115.9 KB · Views: 33
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…