Nokia pie updates roadmap

Nilikuwa natumia Grand prime plus.Tangu nihamie Nokia,nimeshawishika kubaki huku huku.Sina uhakika kama nitarudi tena Samsung galaxy.

Sent using Jamii Forums mobile app
Galaxy nilizikimbia baada ya kuwa wanacheleweaha updates na wakiamuan simu flan hazipati tena updates... Nokia mpango sana aisee, wanachukua tuzo tu sasa hivi kwa kuwa na mid range smartphones bora na imara. Fuatilia rumours za Nokia 9 pure view.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa simu za Nokia kuchukua tuzo kwa sasa asahau, maana simu nyingi tayari zinatumia hii stock rom "Android one" labda aongeze idadi wa wateja tu.
 
Kwa simu za Nokia kuchukua tuzo kwa sasa asahau, maana simu nyingi tayari zinatumia hii stock rom "Android one" labda aongeze idadi wa wateja tu.
Nokia alikuja kuteka soko la chini... Hana high end devices alijitihadi kwa Nokia 8 Sirroco na may be kwa Nokia 9.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nokia alikuja kuteka soko la chini... Hana high end devices alijitihadi kwa Nokia 8 Sirroco na may be kwa Nokia 9.View attachment 1009711

Sent using Jamii Forums mobile app
Tangu Nokia ichukuliwe na Wachina wame improve sana, ila ajitahidi kutoa mid range za bei nafuu, awapiku Xiaomi, Oppo na Samsung, maana naona bei bado zipo juu kwenye mid range zao.
 
Tangu Nokia ichukuliwe na Wachina wame improve sana, ila ajitahidi kutoa mid range za bei nafuu, awapiku Xiaomi, Oppo na Samsung, maana naona bei bado zipo juu kwenye mid range zao.
Nokia haijachukuliwa na wachina, HMD ni kampuni ya Finland na majority ya wafanyakazi wake ni wafinland, Hata HQ yao ilikuwa inapakana na jengo la Nokia.

Na hizi simu zao za Notch japo sizipendi ila nazo hazina utofauti wa bei na hizo xiaomi, mfano Nokia X7 nimeona jamaa alileta link ya aliexpress humu inauzwa around dola 250 simu yenye sd 710 na simu ya xiaomi yenye same soc kama mi 8 se inauzwa bei kama hio ama ghali kidogo.

Hata ukiangalia Nokia x6 yenye sd636 nayo utofauti wake wa bei na redmi note6 aliexpress ni kama dola 10.

Na ukiangalia x5 ni rahisi zaidi.

Simu za Nokia ambazo bei ipo juu ni zile ambazo ni classic kama Nokia 6.1, 7 plus ambazo sana zina aim katika premium market.
 
Nakusalimu Chief... Happy new year


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanajiandaa kwenda kuiachia huko Barcelona.Balaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…