Pionaire
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 1,595
- 1,135
Habari wana JF!..Simu ya NOKIA LUMIA-920 inauzwa,Ina rangi nyeusi,haina michubuko,imetumika kwa miezi mitatu na ipo kwenye hali nzuri,Ina OS ya Windows phone 8.1,internal memory yake ni 32GB...kwa ujumla ipo vizuri haina tatizo kabisa,bei laki 420000/=,kwa atakayeitaji tuwasiliane kwa "0712269097"...Asanteni