Ni simu nzuri ila ni bora kama ukachukua Lumia 720.
Tofauti iko wapi mkuu??? 820 na 720???
Ipi iko juu???
Chief Mkwawa,nashukuru sana kwa ushauri mzuri,ila naomba unijulishe kama naweza ni ka download jf,,kama ninavyo Fanya hivyo toka cm za Android?
Samahani kuna ukweli kwamba Lumia phone hazikubali social network kama instagram?
Kwa hiyo ukiwa na Nokia habari za jf,,nisahau Mkuu?mbona nitakosa raha ya dunia?