Nokia lumia 730 au 735 zinauzwaje?

Nokia lumia 730 au 735 zinauzwaje?

chenga2015

Member
Joined
Feb 24, 2015
Posts
5
Reaction score
1
Hodi hodi humu wana jamii, jamani Leo nnashida naulizia bei ya nokia lumia 730 au 735 ntapata wapi na sh. ngapi.

Nisaidieni.
 
Hapa mfalanyaki zinapatikana ila bei ndo siijui...
 
Lumia 730 aka superman kwa Kenya KES 27,899 ambayo ni kama Tsh 550,000.kwahiyo unaweza kadiria kwa maduka yetu hapa tanzania tsh ngapi, kumbuka Kenya wanauziwa na Midcom ambao ni dealer wa Nokia

source: Nokia Lumia Phones
 
Back
Top Bottom