komeka
JF-Expert Member
- May 1, 2013
- 1,072
- 404
Wakuu hii cm inanisumbua sana tatizo haitak kukubal application ya kununua kifurushi pia m pesa tigo pesa na hta airtel money yaan km sa iv nimeweka laini ya airtel nilikiweka *149*99# kununua kifurushi inakstaa inaandiks session terminated tstizo hili linasababishwa na nn? Na solution lni ipi nisaidien wadau kwani inatumia hels zangu nying coz siwez kujiunga