Nokia lumia 520 windows 8.1 ku-upgrade to windows 10

Nokia lumia 520 windows 8.1 ku-upgrade to windows 10

Orng'adida

Member
Joined
Jan 30, 2012
Posts
38
Reaction score
4
Natumia Nokia Lumia 520 windows 8.1, nataka Ku upgrade ili niweze kutumia windows 10. Kuna application inaitwa windows 10 upgrade advisor sasa nikitaka Ku upgrade to windows 10 inasema not supported. Sasa hataa kama nikitaka Ku download windows 10 software direct kutoka play store haipo Na nikidownload kutoka google inasema my Nokia 520 does not support. Msaada wenu watau ili niweze kutumia windows 10. ASANTE
 
Mkuu lumia yako haikubali
ila kuna kipindi kuna jamaa aliniwekea windows 10 cjajua alii download vp nikafanya mistake ya ku reset cm ndo imekuwa shida hvo sasa kuirudisha tena na yule jamaa kwa sasa cna contact nae
 
Mkuu hiyo ni shida hata mie nina Lumia 510 bado nahangaika upgrade yake.
 
Jamani mimi lumia yangu 520 inagoma ku download app inaandika attention required... Sijui tatizo nini
 
Back
Top Bottom