Lumia ipi uliyotumia? Lkn ziko poa sana simu hz na ht chaji inakaaaNokia kwa Lumia walichemka sana
Nadhani chaji inayosimama itanifaa zaidi...Lumia ipi uliyotumia? Lkn ziko poa sana simu hz na ht chaji inakaaa
Nauza simu Nokia Lumia 520, TZS 150,000 tu. Haina scratches na imetumika miezi miwili. Nauza sababu naona android ni bomba kuliko windows.
First come, first served.