MADARAKA DANIEL
Member
- Oct 26, 2012
- 93
- 22
Habari...!
ndugu wanajukwaa hili nina tatizo kwenye simu yangu aina ya nokia lumia 510, tatizo lenyewe ni kwamba huwa nashindwa kutumia huduma kama vile m pesa au tigo pesa,kujiung vifurushi vya mitandao mbalimbali.Ombi langu kwa wanajukwa kwa anayefahaamu jinsi ya kutatua hili tatizo..Asante