NOKIA LUMIA 4 SALE ONLY 160 tzs

NOKIA LUMIA 4 SALE ONLY 160 tzs

Hizo simu mbayaaaa, apps nyingi sio compatible: jarubu kudownload careeone, jobseek apps; yani I hate the brand

Kwa kweli simu hzo hazifai. Kuna watu kama 6 hivi ninawafahamu walikuwa nazo na hawaztak. Wengne wameshaziuza..
 
Kwa kweli simu hzo hazifai. Kuna watu kama 6 hivi ninawafahamu walikuwa nazo na hawaztak. Wengne wameshaziuza..
unaweza kunipatia contact za watatu kati yao ? Au ulitaka na wewe kuchangia tu si vibaya ila ungetoa hoja zako!!! Kama una mke basi kuna watu kabao mkeo hawamtaki je hafai???
 
Back
Top Bottom