Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,229
- 44,239
Good specs ila battery itabuma kwa watumiaji wa 24/7 kama mimiKampuni ya HMD global leo imezindua simu mpya ya Nokia 6 huko china.
Nokia 6 Specifications:
- 5.5-inch FullHD screen (2.5D glass, Gorilla Glass 3)
- 154 x 75.8 x 7.85 mm (camera bulge 8.4 mm)
- Qualcomm Snapdragon 430
- 4GB RAM
- 64GB internal + MicroSD
- 16MP back and 8MP front camera
- 3000mAh
- Dolby Atmos
- 6000-series aluminum unibody
- Android 7.0 Nougat
bei yake ni dola 245, around 540,000 za kitanzania. ila kwa sasa imezinduliwa china tu masoko mengine bado
Sio ndo maana hata bei ni ndogo!Ipo vizuri kila kitu ila kwanini hiyo hardware yake wameweka nfogo 430 na wakati huo saizo ipo hadi 820
Ericsson au Microsoft?Nokia original Finland...
Walibugi kushare na Ericsson wakaingia sipo...
Labda China watawarudisha kwenye soko...
Welcome back Nokia connection people..
ipo yenye snapdragon 835 imeleak ila haijatoka bado, hii ni midrange tu,Ipo vizuri kila kitu ila kwanini hiyo hardware yake wameweka nfogo 430 na wakati huo saizo ipo hadi 820
battery inategemea na customization pia, inaweza kuwa ndogo ila ikakaa sana na charge, subiria review utajuaGood specs ila battery itabuma kwa watumiaji wa 24/7 kama mimi
Ile iliyo leak specs zake ziko juu, maana inaingia kwenye ushindani na vitu vikali kama s8, iphone 8, htc11, mi 6 mixipo yenye snapdragon 835 imeleak ila haijatoka bado, hii ni midrange tu,
Once you go apple you never turn back!Ngoja tuone kama ntaiacha iPhone yangu kirahisi.