HMD Global wameshafeli
- Simu zao ziko overpriced mpaka unajiuliza unaanzaje kununua Nokia kwa bei kubwa wakati kuna simu kibao zina-offer better specifications kwa same price tag.
- Software ya AndroidOne nayo inakera, bora hata angetengeneza software yake mwenyewe au angetumia hiyohiyo Stock Android halafu ai-modify iwe na Nokia style kama Motorola alivyofanya
- Design nyingi za simu za Nokia nazo huvutia kwa mbele halafu nyuma ndio wanaboronga [emoji1751][emoji1751]
- Hata chipset hawa jamaa wanapunja balaa. Unakuta simu ya laki 8 hadi milioni 1 anaweka Snapdragon 695
- Tangu walipoacha kutengeneza flagships ndio wakaanza kwenda mwelekeo m'baya. Flagship zinasaidia kutangaza jina la kampuni, sasa wao walipotengeneza Nokia 9 Pureview wakaghairi kuendelea na flagships
Microsoft bidhaa zao ni moto ila walisahau kwenye simu walibana sanaNimekuwa nikiandika sana hii android one ni utumbo,sijui wahusika wao hawaoni???View attachment 2532476
Hii logo ni baada ya kugundua ile ya mwanzo ilikuwa ya kifala,wakaona wbadilike lakini bado caller yao.
Leo hii microsoft wangekomaa na simu zao za windo,hakuna simu ingekuwa faster na fluid optimazed kama hiyo sokoni,maana ram 1gb ya window ilikiwa ni moto,nokia waliyumba sana.
kumbe wa juzi sie tumeanza kutumia nokia zile zenye ukubwa kama mche wa sabuniInanikumbusha mbali mno.
Simu yangu ya kwanza kutumia niliiokota nokia n50...ya rangi na ilikuwa ina-download wallpapers..[emoji1783][emoji1783][emoji1783]
Pesa ndugu yangu enzi hizo hiyo nokia ya mche wa sabuni gharama yake unanunua iphone hivi sasakumbe wa juzi sie tumeanza kutumia nokia zile zenye ukubwa kama mche wa sabuni
TBL 1933 (miaka 90) Asas 1936 (miaka 87), Aga Khan 1905 (miaka 118), Mac Group around 1880/1890 miaka Takriban 140 yapo makampuni mengi makongwe Nchi hii.1865 hadi sana bado kampuni lipo.
Hawa wenzetu wanajua sana kuendeleza nabkupitisha vitu vyao vizazi hadi vizazi, hapa kwetu sidhani kama kuna kampuni lenye japo miaka 100.
Sasa hivi simu bei sana, at that time hio miche ilikuwa inauzwa $200-300 hata ukicalculate inflation inakuja kama $400-600. Siku hizi top phones ni $1000 kupanda.Pesa ndugu yangu enzi hizo hiyo nokia ya mche wa sabuni gharama yake unanunua iphone hivi sasa