Inanikumbusha mbali mno.Nauliza tu ile mikono miwili inayo shikana bado ipo?
Nokia hawategemei simu kwenye biashara yake.Suluhu wangebadili jina na logo maana tatizo la nokia ni kuwa wamepoteza trust kwa wateja wengi pale walipofail katika simu zao za Lumia na mfumo wao wa smbyian, ili kuteka soko la android os, ni lazima wabadili hivyo viwili.
Ila iliyobadili logo ni Nokia Corporation sio HMD na Kwa mujibu WA CEO wao mabadiliko haya ni msisitizo kuwa Nokia sio tena kampuni ya uundaji simu Bali ni kampuni inayouza telecommunications equipments na cloud computingHMD Global wameshafeli
- Simu zao ziko overpriced mpaka unajiuliza unaanzaje kununua Nokia kwa bei kubwa wakati kuna simu kibao zina-offer better specifications kwa same price tag.
- Software ya AndroidOne nayo inakera, bora hata angetengeneza software yake mwenyewe au angetumia hiyohiyo Stock Android halafu ai-modify iwe na Nokia style kama Motorola alivyofanya
- Design nyingi za simu za Nokia nazo huvutia kwa mbele halafu nyuma ndio wanaboronga [emoji1751][emoji1751]
- Hata chipset hawa jamaa wanapunja balaa. Unakuta simu ya laki 8 hadi milioni 1 anaweka Snapdragon 695
- Tangu walipoacha kutengeneza flagships ndio wakaanza kwenda mwelekeo m'baya. Flagship zinasaidia kutangaza jina la kampuni, sasa wao walipotengeneza Nokia 9 Pureview wakaghairi kuendelea na flagships
Ipo mkuu isipokuwa sahivi haishikani bali inagonga! Hatari sanaNauliza tu ile mikono miwili inayo shikana bado ipo?
Haa Haa Hawatumii Vitu Vinavyotengenezwa Na MakafrMimi nasubiri ndugu zetu katika imani ya conspiracy waje watueleze maana ya logo hii kama hawajatueleza ni jina la mungu jike sijui mungu mawe.
Unaweza weka link au taarifa zaidi tuka verify kama hii taarifa ni ya kweli kabla ya vijiweni kuonekana wajuaji?
Hapo sawa. Nilifikiri ni HMD Global ndio wamebadilisha hiyo logo yao. Maana hizi Nokia za sikuhizi wameyumbaIla iliyobadili logo ni Nokia Corporation sio HMD na Kwa mujibu WA CEO wao mabadiliko haya ni msisitizo kuwa Nokia sio tena kampuni ya uundaji simu Bali ni kampuni inayouza telecommunications equipments na cloud computing
Toka lini logo ya HMD Global ikasomeka Nokia?Hapo sawa. Nilifikiri ni HMD Global ndio wamebadilisha hiyo logo yao. Maana hizi Nokia za sikuhizi wameyumba
HMD Global wanatengeneza simu za Nokia, nikafikiri wamebadili logo kwenye simu zao.Toka lini logo ya HMD Global ikasomeka Nokia?
Shule ulienda kweli?
Kampuni mbili tofauti.HMD Global wanatengeneza simu za Nokia, nikafikiri wamebadili logo kwenye simu zao.
Shule nilienda lakini hatukuwahi kufundishwa kuhusu logo za makampuni ya tech. Acha kuhusianisha mambo yasiyohusiana au umeandika ilimradi watu tukuone msomi.
NilishaelewaKampuni mbili tofauti.
Moja amepewa leseni ya kutengeneza simu za Nokia.
Nokia ndo wamesema wanabadili logo na sio HMD.
Mwenyewe hapa nishaanza speculations ngoja tuwasubiri pamoja.Mimi nasubiri ndugu zetu katika imani ya conspiracy waje watueleze maana ya logo hii kama hawajatueleza ni jina la mungu jike sijui mungu mawe.