Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,229
- 44,239
- Thread starter
-
- #21
Cmu ipi itakuwa nzuri katika swala la kukaa na chaji muda mrefu kati ya hizo.
kaka Flagship yao lini? tutegemee nini tena kwenye MWC 2014 kutoka Nokia?
Flagship Za Nokia Na Apple Hiwa znachelewa Kuanzia october mpaka November.. Sony na Htc na Samsung Tuwategemee Hivi Karibuni
Naomba tofauti ya ubora kati ya hiyo X+ na Huawey y300
nilikua nasubili kwa hamu saaana hii kutu hatimaye ....android phone ya nokia that will be my favorite ..ila nina wasiwasi na uhimala wake je itakua himala kama zile simu za nokia zingine?:smile-big:
3.inatumia pure android sio fork hivyo inakubal apps nyingi.
Pure android ya Nokia X imeshatoka. Inabidi watu wahamie huko. Maana ni smooth na fast zaidi kuliko Fork/stock rom.
never ever pure android iwe fast kuliko aosp unaposema forked android ndio hio hio aosp kaka na ipo fast sababu.
1. haina google apps
2. inakua optimized kwa simu moja tu
3. haina bloatware (wengine wanaeka)
custom rom karibia zote kama vile za cyanogen, omni rom na aopk zote zinatumia aosp sasa unaposema pure android ipo fast upo wrong kaka.
Hivi unaweza ukadownload app za kuangalia mpira live kama vie 24/7sports online na ikafanya kazi?
kaka app zote za android zinakubali isipokuwa zile app zinazotumia service za google. mfano app zenye in app purchase zinazohitaji playstore. kuna app ukifungua zinataka kuverify playstore kwanza.
pia sina uhakika kama haka kasimu kanasuport flash, ila inawezekana kinasuport.
kama hio app haitumii google play service na simu ina flash basi utaweza kuangalia mpira fresh.
mwez wa 4 mwanzoni
XL ngoja niisubiri ila mwezi wa Nne mbali.
Nokia Xl imeshafika Bongo? Julai hii nimejaribu kuitafuta hapa nilipo nimeikosa.Watu wa Mwanza na Dar naomba mnijulishe kama uko zipo.
zipo madukan kibao around 300,000
zipo madukan kibao around 300,000