IPhone na Samsung hawawezi kuuza simu zao kwa bei hiyo maana, Apple kwa sababu ya Margin na Samsung kwa sababu kama kila review inavyosifu S8 ni a Master piece kwenye Hardware.
Lakini kwa bei ya 460$ kuna simu unaweza Pata kama One plus 5, Xiaomi mi 6 zote zikiwa na Snapdragon 835 but pia kwa bei hiyo Unaweza pata the beautifully designed LG G6 (ambayo inafanya hiyo Nokia ionekane like a child's toy)
OnePlus 5 review: Still the best value smartphone
Deal: LG G6 is $430 in the US, V20 drops to $393
Xiaomi Mi 6 4G Smartphone INTERNATIONAL VERSION 6GB RAM 64GB ROM-$418.69 and Online Shopping | GearBest.com Mobile
Kwenye hiyo Ozo audio nimesikiliza the so called "demonstration" against hiyo popular phone ambayo hawaja taja so mpaka reviews ziwe uploaded siwezi kusema if ni superior kuliko wanacho tumia LG au Samsung au Sony though nauhakika ni better than Apple’s. Sawa na swala la build quality na durability nitasubiri ifix it wafanye teardown na ulivyo sema "wametumia screws badala ya magundi" kumbuka hichi uwekwa kwa jili ya waterproofing Nokia 8 hawaja fanya hivyo maana sio ip68 certified wala sio a poor design choice kwa Samsung, Apple na wengine.
What do you mean kitu ambacho sio relevant? Najua unaelewa how impressive the 10nm process is at the time but hizo shout out za Sony kwa kutengeneza sensors sio kubwa sana maana Samsung pia anatengeneza sensors hizo hizo za kwake mwenyewe anatumia tu Sony kwa sababu ya the scale ya Galaxy line so hawezi tengeneza all 50 million sensors hence some zitatumia Sony sensors some in house
Samsung Galaxy S8 uses two different camera sensors.
As for patents na Nokia yeah anamlipa 1 billion per year
Nokia and Samsung announce expanded patent licensing deal because wanashare lakini Samsung hamlipi Nokia for Lte as you can see yeye ndio baba kwenye 4g kwa kuongoza kwa patents
Dropbox - iRunway - Patent & Landscape Analysis of 4G-LTE.pdf
Sent using
Jamii Forums mobile app