Nokia Fans: Here We Go Again.

mkuu asante kwa ufafanuzi kumbe ya kwangu E52 Inasifa zote za smartphone.!!
 
chief without 4getin document processing(pdfs,ms word,power pnt etc), ds feature is one of d major ones which defines a smart 4ne

BB inakufa kijana karibu kwetu!! Yaani RIM walikua na utajiri wa $80Bill leo wana $5.17Bill bado una wa NG'ANG'ANIA?? ZINDUKA
haha android user anamwona BB user as ancient history, BB user ye anajiona matawi mbaya full mkwanja. afu anamwoma android user like a pizza boy hakana ma2mizi yeyote ya muhimu(unlike him nd his BB) but just finding stupid directions with google maps. HAHAHAHA hii pic imefanya ni LOL

​
 
Duuuuu!! nime cheka sana hadi wanyama wana tumia BB(Android users are so funny) Ila wa zee wa BB wanajisifu sana, kuna mmoja alidiliku kusema kua BB ziko controlled by satellite ataukiwa pori ina nasa mawimbi!!
 
nakumbuka
 
BB inakufa kijana karibu kwetu!! Yaani RIM walikua na utajiri wa $80Bill leo wana $5.17Bill bado una wa NG'ANG'ANIA?? ZINDUKA

Hata nikizinduka sio kwenye Nokia kaka nitaenda kwenye apple au samsung mambo ya android.
 
Nokia asha series simu za chini ya laki 2 ndo competitor mkubwa wa blackberry now zimejazwa madude yote ya bb mule
Acha uwongo Asha series uwezi hata ukaweka what's app lol yani hiyo inashikisha sana watu masikio kwavile eti bei raisi lakini ni bomuuuu watch out. bora visumsung galaxy pocket with android operating system.
 
Wewe ndo uache uongo ni Nokia asha ipi ambayo haikubali What'sApp????
 
samsung fan...ila kwenye ishu ya kukopi! nokia cnunui labda bure. Mtazamo wangu tu.

HIVI SMARTPHONE ni cm za aina gan?

haa hebu tamka kwanza neno SMART, rudia tena SMART, then ongezea phon,,, utajua kwamba smartphone ni more advanced phone sio nokia tochi!!
 
Acha uwongo Asha series uwezi hata ukaweka what's app lol yani hiyo inashikisha sana watu masikio kwavile eti bei raisi lakini ni bomuuuu watch out. bora visumsung galaxy pocket with android operating system.

hatugombani kaka asha series zimetengenezwa kwa dhumumi kama bb japo asha sio high end smartphone (ni low end smartphone) ila zimezinduliwa na app 25,000 ambazo nyingi ni design za kuchat na messengers na hizi ni baadhi ya app maarufu zilizo kwenye asha.

-whatsapp
-skype
-facebook
-twitter
-orkut
-flickr
-msn
-nimbuzz
-yahoo

Zote hizo hapo juu ni application na sio website nokia wamejitahidi karibia app zote maarufu za kuchat wamezieka
 
Asha 200 haina whatsapp official released maana ilitoka kabla ya watsapp ila mbona mi naweza kuzieka watsapp nokia yoyote s40 yenye resolution ya 320x240 inaingia watsapp.
Kama unayo na huwezi kueka better useme ufundishwe
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…