Nokia e75

Nokia e75

SIM

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2011
Posts
1,795
Reaction score
1,309
Wakubwa kwa wadogo habari zenu, Naombeni mnisaidie Nimeformat simu tajwa hapo juu kwa kutumia Code hizi 7370. Sasa imepatwa na tatizo la kuzima pale ninapopiga au kupigiwa simu na chaji iko full, naombeni mnisaidie nini cha kufanya ili irudi katika hali yakawaida, cheif na wadau wengine saidieni hapa
 
Last edited by a moderator:
Mimi natumia e71 huwa naifrash once inaanza kuzima zima,hakikisha unaweka anti-virus utakaa nayo miaka mingi.
 
Kuhuisha ndo vipi mkuu naomba nifafanulie

Kuhuisha ni kurudisha kitu katika upya wake au katika mfumo au mpangilio wa kwanza kabisa (to resrore). Kuna baadhi ya simu huwa zinapata matatizo kama yako, nyingine huwa zinazima na kujiwasha pale unapofika katika mpangilio wa tone na kufanya simu iite kimya kimya muda wote. Mara nyingi tatizo hili huzikumba simu orijino. Ili kutatua tatizo kama lako;
1. Ingia ktk menu ya simu yako
2. Ingia katika mpangilio wa simu 3. Nenda katika rudisha mpagilio wa kiwandani na utatakiwa kuingiza neno la siri (password) kisha bonyeza SAWA (ok). Kuna baadhi ya simu huwa zinakuletea uchaguzi (option) kama unataka kuhuisha mpangilo mzima au profile pekee. Hivyo utatakiwa kuchagua hizo chaguzi kulingana na tatizo lako lilipo na baada ya hapo mpangilio mzima wa simu yako utabadilika na tatizo litaishia hapo. Kumbuka Neno la siri linatofautiana kati ya kampuni moja ya simu na nyingine (sizungumzii mitandao ya simu).
 
i format tena ndg,ulipoformat mwanzo haikumaliza baadhi ya files!format tena itatulia,pole sana
 
Back
Top Bottom