SIMU TAJWA HAPO JUU INAUZWA..
NI NOKIA E63
INAKUBALI WHATSAPP,WE CHAT,OPERA MINI etc
Imetumika mwez m1 hvo bado mpya hata kwa kuiangalia
Picha hizo hapo chini
View attachment 154564
View attachment 154563
0765050591
Chukua 50000.uko eneo gani?
Chukua 50000.uko eneo gani?
Weka bei ya kueleweka hizo sim ni zetu wazee na sio za vijana.Kuna matoto matundu yamelamba ya kwangu!!nahitaji kweli
Unaposema bei ya kueleweka unakua na maana gani.?
Fanya 60000.pia naomba kuuliza kila kitu chake unacho charger na memory ipo?na kama ipo ni gb ngapi?