Jackson jonh Member Aug 11, 2011 46 7 Dec 5, 2011 #1 Kwa anaehitaji tuwasiliane kwa namba.0652993219,bei ni 200000,mi niko temeke dar
Jackson jonh Member Aug 11, 2011 46 7 Dec 5, 2011 Thread starter #3 Nop.ila haina shaka yoyote ile,ni mali halali,niliinunua mwaka mmoja ulopita kwa rafiki yangu wa karibu sana
Nop.ila haina shaka yoyote ile,ni mali halali,niliinunua mwaka mmoja ulopita kwa rafiki yangu wa karibu sana
M Mafie PM JF-Expert Member Mar 19, 2011 1,317 207 Dec 6, 2011 #4 Jackson jonh said: Kwa anaehitaji tuwasiliane kwa namba.0652993219,bei ni 200000,mi niko temeke dar Click to expand... asnte ila Temeke mbali sana kwangu. Kazi njema
Jackson jonh said: Kwa anaehitaji tuwasiliane kwa namba.0652993219,bei ni 200000,mi niko temeke dar Click to expand... asnte ila Temeke mbali sana kwangu. Kazi njema
M Mafie PM JF-Expert Member Mar 19, 2011 1,317 207 Dec 6, 2011 #5 Senetor said: Ina risiti? Click to expand... wewe nawe! kwani vitu vyako vyote una risiti? Hata viatu na wallet? mwenyewe kasema alinunua kwa rafiki yake, na hapo ndipo kuna sintofahamu, nunua tu kwa imani
Senetor said: Ina risiti? Click to expand... wewe nawe! kwani vitu vyako vyote una risiti? Hata viatu na wallet? mwenyewe kasema alinunua kwa rafiki yake, na hapo ndipo kuna sintofahamu, nunua tu kwa imani