Habari
wana Tech, Gadget nilikuwa naomba msaada wa jinsi ya kutumia Simu yangu niitumie kama modem kwenye Laptop!
So naomba maelekezo ya jinsi ya kuiunganisha!
mbn baada ya kudownload hiyo software ( ovi suite ) inajieleza tu mkuu?? hebu download kwanza then make use of your brain it is very easy ndugu than you could ever imagine.
mie ndio natumia hii daily na Nokia Asha yangu 200,nabadili line tu kufuata better service in terms of network stability.
Inaitwa nokia suite sikuizi, lakini kama file lake ni kubwa sana kwako tafuta software inaitwa "nokia connectivity cable driver" ina kama mb 2 halafu install
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.