ukiingia na opera mini mara nyingi hawadetect simu yako.
solution ya kwanza
ingia na browser ya simu ambayo ni nokia express itadetect simu automatic halafu download.
solution ya pili
ingia na hio hio opera ukiwa katika website ya whatsap scroll chini halafu chagua s40 then download na opera automatic utatoka kwenye opera itakuleta sehemu ya kudownloadia