Du Hii simu itakua famba hawa nokia hwajafanya upembuzi yakinifu kuhusu soko tanzania na hlo jina mwana_asha?
Katika kukidhi kiu ya wapenda "gadget" lakini wasiotaka kutumia mkwanjwa mkubwa kununua simu za bei mkubwa (High end)kama Nokia Lumia Nokia wamekuja Model ya asha. Simu za NokiaAsha zinaelezwa kuwa na feature kama Apps zilizokwenye baadhi ya smartpone maarufu
Tech Specs na bei za Asha zikoje ?
Baadhi ya apps
Kwa gamer Asha(Note sio AshaDii ) zinakuja zikuwa packed na free games kama "Tetris", "Need for Speed, The Run", and "Bejeweled".
NB
Habari hii Imechakachuliwa kutoka Nokia Asha. teh teh
Ni simu nzuri mi nimeinunua nina siku 3 nimeipenda ingawa downloding speed yake sio kubwa kwa mz ni 180,000/=
EBENEZA MT Umesoma manual na bado umeshindwa kuelewana kuset ? Anyway fuata hatua hiziWakuu nimejaribu kuiuganisha na uduma ya net imekataa. yangu mimi ni nokia 200.
Wakuu nimejaribu kuiuganisha na uduma ya net imekataa. yangu mimi ni nokia 200.
Hajasema Nokia e200, anazungumzia Nokia 200 (without a 'e')Hiyo nokia e200 ni mchina mkuu sio original ni mchina kabisa