M mohamedn Member Joined Feb 19, 2009 Posts 55 Reaction score 39 Jan 16, 2013 #1 naomba msaada kwa mwenye uelewa wa kunisaidia kutatua tatizo la 'security code' kwenye simu ya nokia asha 300 (rm-781). kwa bahati mbaya code niliyoweka kwa sasa haikubali kufungua na sijui tatizo ni nini.
naomba msaada kwa mwenye uelewa wa kunisaidia kutatua tatizo la 'security code' kwenye simu ya nokia asha 300 (rm-781). kwa bahati mbaya code niliyoweka kwa sasa haikubali kufungua na sijui tatizo ni nini.