Habari za kazi ndugu zangu.Nina Nokia Asha 300 lakini tatizo lake ni kwamba touch screen is not responding na nashindwa kuswipe ili niunlock.Hivyo nashindwa kuitumia simu.
Naomba msaada kwa wataalam kwenye hili tatizo.
Natanguliza shukrani!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.