Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,074
- 43,540
kama unaongelea kampuni ambayo haifatilii patent zake ni nokia, nokia wamekua wapole watu wanacopy vitu vyao ila wananyamaza kimya. Nokia anaown patent zaidi ya 10,000
Wa kwanza alikua apple kushtakiwa na nokia na mpaka leo idevice yoyote inayouzwa apple anamlipa nokia $7 (kila iphone, ipad, ipod)
sasa leo naona na htc kimemkuta maana ni muda mrefu anamcopy nokia lakini nokia ananyamaza ila siku za karibuni htc amekosa adabu zaidi kwa kuwakashifu nokia na kuweka matangazo ya htc na sarafu kuonyesha uzito wa lumia 920.
Kampuni kama nokia iliyospend zaid ya dola bilion 60 (zaidi ya trilion 100 za kitanzania) kwenye research na kugundua karibia 90% ya vitu vya kwenye simu unaposhindana nayo unategemea nini?
Wachambuzi wanasema nokia ana 99% ya kushinda hizo kesi na ukijumlisha juzi juzi htc kaingia mkataba na apple wa kumlipa patent dola 6 hadi 7 kwa kila device.
kama unataka kuzijua hizo kesi ingia hapa
http://www.fosspatents.com/2012/11/htcs-biggest-patent-worry-after-apple.html
Hebu ona hizi simu unaweza tofautisha?