Nokia 9 android kuja na "zeiss" dual camera

Nokia 9 android kuja na "zeiss" dual camera

PureView zeiss

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2016
Posts
14,602
Reaction score
46,907
katika ulimwengu wa technologia hasa kwa upande wa smartphone kuna vigezo muhimu kwa makampuni ya simu ili kuweza kulikamata soko,mfano mzuri ni samsung ambae namkubali sana kwenye upande wa design (angalia S8 na S8+).
kwa upande wa Os yenye akili huwezi kumkataa iphone ataendelea kuwa #1

tukirudi kwenye upande wa imagining hapa ndipo kwenye ushindani mkubwa kila manufacture atapigana ilimradi apate ufalme wa camera kali na ndio soko la smartphone lilipo
customers sikuzote hutafuta simu yenye camera kali na ndio mambo mengine hufuatia

nokia kwa kutambua hilo atakuja ramsi na zeiss optic kitu ambacho kuanzia samsung,iphone,lg,htc,sony na wengineo wanajua kuwa mfalme wa camera nokia atawapoteza vibaya kwenye ulimwengu wao.zeiss watashirikiana na HMD global katika screen quality,optic

nokia 9 itakuja na dual camera,ozo audio enhancement(ni zaidi ya dolby atmos) ram yenye 8gb,irish scanner,clear black display na mengineyo
zeiss-hmd-768x512.jpg
 
nokia alibugi kuiacha Os yake ya symbian na kujiunga na microsoft window phone
nawaza tu kama nokia lumia 1020,830 na 730 zingekuwa zinatumia android!!au pureview technology ingekuwa kwenye simu za android
 

Attachments

  • Screen-Shot-2017-04-20-at-19.21.45-600x326.jpg
    Screen-Shot-2017-04-20-at-19.21.45-600x326.jpg
    8.3 KB · Views: 59
8 GB RAM?
Hawa jamaa wanataka kutufanya tukose msimamo.
Kwahiyo niisubiri na hii tena hadi september?

Hahahaa, Tangia hapo ushakosa msimamo. Vipi, Ulikuwa unaisubiria nokia 6 nini.?
 
Hahahaa, Tangia hapo ushakosa msimamo. Vipi, Ulikuwa unaisubiria nokia 6 nini.?
nokia 6 ndio simu imara ya 2017 sasa nashindwa kuelewa tatizo liko wapi hadi wanashindwa kuingiza global market
 
kuna tetesi hakuna nokia 9 kuna nokia 8 tu, na simu yenyewe ni hii

Screen-Shot-2017-07-06-at-15.22.24.png


Screen-Shot-2017-07-06-at-15.22.40.png
 
Hahahaa, Tangia hapo ushakosa msimamo. Vipi, Ulikuwa unaisubiria nokia 6 nini.?
Nasubiria 6 zichanganye sokoni bei ishuke. Sahivi naletewa 9.
Ila nimeamua kununua 6 ili hiyo 9 ikitoka nitampa mtu hii 6 then ntanunua 9 na iphone itakayotoka mwezi huo.
 
kuna tetesi hakuna nokia 9 kuna nokia 8 tu, na simu yenyewe ni hii

Screen-Shot-2017-07-06-at-15.22.24.png


Screen-Shot-2017-07-06-at-15.22.40.png
kipindi fulani kulikuwa na tetesi ya nokia lumia 850 na lumia 950 lakini mwisho wa siku waliskip na kuingiza lumia 950 acha tusubiri tuone watakuja na mtindo upi
 
Ina curved display?

Nilikua mpenzi wa Nokia ila Samsung na hii Curved display yao wameniteka.

Hapa nasikikizia Note 8 itoke nilale nayo mbele.

Hii curved dispaly mimi imenimaliza nguvu mwili na roho. Nimesikia pia hata Iphone 8 inaweza kuja na hii dispaly.

Kama Nokia wakiweka hiyo watanirudisha kundini.
 
Back
Top Bottom