Nokia 2610 zinauzwa kwa jumla | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nokia 2610 zinauzwa kwa jumla

Discussion in 'Matangazo madogo' started by TZ biashara, Mar 17, 2012.

 1. TZ biashara

  TZ biashara JF-Expert Member

  #1
  Mar 17, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 523
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Nokia 2610 zilizotumika zinauzwa kwa jumla na zimefunguliwa kutumika ktk network yoyote.Simu hizi zipo ktk hali nzuri na zinafanya kazi lakini hazina charger kwahiyo mauzo ni simu peke yake.Hazipo nchini bado zipo Uingereza lakini nategemea mzigo utafika mwezi ujao na kwa order yako tafadhali wasiliana na Habibu 0717810318.Bei ya simu ni Tsh 45000 x 10 =450,000 $(KGrHqUOKiME6YPpnGWdBOspj+7Erw~~60_12.jpg
  Naweza kupata zaidi.Zipo aina nyingine kama SONY ERICSSON T610i bei ni 50000 x 10 =500,000
  SONY ERICSSON K700i 60000 x 10 =600,000
   
 2. ngosha2011

  ngosha2011 JF-Expert Member

  #2
  Mar 18, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 697
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  me nataka k700i
   
 3. TZ biashara

  TZ biashara JF-Expert Member

  #3
  Mar 18, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 523
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Unataka ngapi kwasababu unaweza ku-order zaidi ya 10 yaani 10,20, au zaidi kwasababu zinakuja kumi kumi ktk box.
   
Loading...