nokia 106 na 107 kitochi kwa style mpya

nokia 106 na 107 kitochi kwa style mpya

Sina hakika hadi na hofu asee nisije beba kesi ya kuvunja na kuiba kisa nimenunua kisimu cha 15k hivi visimu usalama wake ukoje kwanza endapo kuna lolote lile
Hivyo usalama wake ni 100% maana hakiifadhi taarifa kama smartphone
 
Nje ya mada kidogo chief mkwawa nina kaswali kangu huwa najiuliza sipati jibu ata niki google huwa naona mauza uza tu

Ivi hii kampuni ya tecno ni kampuni kutoka nchi gani yani ni ya kichina au korea au ya kinaijeria?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu naomba msaada nina monitor flat na nina Dvd player nataka nifanye monitor icheze dvd player
Monitor ina Ports hizi
IMG-20190115-WA0000.jpg

IMG-20190115-WA0003.jpg

Na Dvd player ina ports hizi
IMG-20190115-WA0002.jpg

Nimenunua waya huu wa Hdmi to 3Rca
IMG-20190115-WA0010.jpg

Ila nikichomeka inaniambia hivi
Check signal cables
IMG-20190115-WA0012.jpg

Je shida ni ipi na naweza tumia njia ipi ili nikamilishe hii kitu?!....Ahsanteh
Chief-Mkwawa Chief-Mkwawa
msauziy
Extrovert
 
Mkuu naomba msaada nina monitor flat na nina Dvd player nataka nifanye monitor icheze dvd player
Monitor ina Ports hizi
View attachment 995323
View attachment 995325

Na Dvd player ina ports hizi
View attachment 995326

Nimenunua waya huu wa Hdmi to 3Rca
View attachment 995327

Ila nikichomeka inaniambia hivi
Check signal cables
View attachment 995328

Je shida ni ipi na naweza tumia njia ipi ili nikamilishe hii kitu?!....Ahsanteh
Chief-Mkwawa Chief-Mkwawa
msauziy
Extrovert
Mbona vyote vina hdmi? Tumia hio hdmi

Na huwezi tumia waya wa HDMI (digital)kwenda hio cable nyengine (analog) bila kuwa na converter.
 
Mbona vyote vina hdmi? Tumia hio hdmi

Na huwezi tumia waya wa HDMI (digital)kwenda hio cable nyengine (analog) bila kuwa na converter.
Anhaa hapo naweza tumia hmdi to hdmi si ndio?
Na hio hdmi to rca lazima niwe na converter? Inayo convert analog to digital!..
 
Anhaa hapo naweza tumia hmdi to hdmi si ndio?
Na hio hdmi to rca lazima niwe na converter? Inayo convert analog to digital!..
Lazima uwe na converter.

Tumia hdmi to hdmi ndio itakuwa rahisi.

Ila sijajua kama hio monitor ina speaker. Kama haina utahitaji speaker za nje zitakazotokea kwenye dvd player ama kama monitor ina 3.5mm jack unaweza pia tolea sauti humo.
 
Naomba mfano wa hiyo converter na waya zake ziweje kwa picha.Ahsanteh
 
Back
Top Bottom