nokia 106 na 107 kitochi kwa style mpya

nokia 106 na 107 kitochi kwa style mpya

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Posts
32,279
Reaction score
44,416
nokia jana wametoa version za nyongeza mbili kwa kitochi kipya. inamaana kitochi kipya kitakua na version 3. nokia 105, 106 na nokia 107.

so kipi cha muhimu?

simu zote zinafanana kila kitu zina fm radio, haziingii matone ya maji wala vumbi (zinaingia maji ukiizamisha), zina kitochi na zinatumia line 2. so tunaona hapa sasa hv vitochi vinatumia double line.

gsmarena_001.jpg


nokia 107 hii itakua na kitu special kidogo, itaingia memory card ya 16gb ina maana sasa hv utaweza kusikiliza mziki kwenye kitochi chako.

bei nokia 106 ni dola 23 (around 37,000)
nokia 107 ni dola 25 (around 41,000)

je unatamani feature gan kwenye kitochi?

mimi natamani kitochi kije na option ya tethering
 
Hawa nokia na ulimwengu was tatu? Naona hawataki kuuachia daaah. Pouwa lakini wanasaidia sana
 
nokia jana wametoa version za nyongeza mbili kwa kitochi kipya. inamaana kitochi kipya kitakua na version 3. nokia 105, 106 na nokia 107.

so kipi cha muhimu?

simu zote zinafanana kila kitu zina fm radio, haziingii matone ya maji wala vumbi (zinaingia maji ukiizamisha), zina kitochi na zinatumia line 2. so tunaona hapa sasa hv vitochi vinatumia double line.

gsmarena_001.jpg


nokia 107 hii itakua na kitu special kidogo, itaingia memory card ya 16gb ina maana sasa hv utaweza kusikiliza mziki kwenye kitochi chako.

bei nokia 106 ni dola 23 (around 37,000)
nokia 107 ni dola 25 (around 41,000)

je unatamani feature gan kwenye kitochi?

mimi natamani kitochi kije na option ya tethering

tethering?? Hapo Mkuu Kwan Inawezekana Kua Tethering Kwa Simu Isiyo Na net?? Na Kuhusu Kwenye Network kama 3g na edge Inakuaje???
 
Hyo tathering ndo nin mkuu

tethering ni uwezo wa kushare internet, hapo nilimaanisha kitochi kiwe na built in modem. uwe unatumia kitochi kama modem.

kuna watu wengi wanaunga vifurushi vya kuongea hawatumii mb hii itawafanya wazitumie
 
tethering?? Hapo Mkuu Kwan Inawezekana Kua Tethering Kwa Simu Isiyo Na net?? Na Kuhusu Kwenye Network kama 3g na edge Inakuaje???

hakuna simu ya hivyo lakini haimaanishi kua haiwezekani. feature phone huwa wanazieka baadhi ya function za smartphone sema tu zinakua hazina akili. ina maana nokia wanaeza kueka hata kibuton tu juu ya simu ukikibonyeza inaachia wifi
 
Nokia tochi ndo mpango mzima.hyo michina yenu tupa kule!!mi na Nokia tangu 2003- Nokia 3310, 1100,........
 
Back
Top Bottom