Nokia 105 Dual sim

Nokia 105 Dual sim

Kassina

Senior Member
Joined
Mar 3, 2018
Posts
133
Reaction score
133
Wakuu kuna simu zinapatikana Tigo shop Nokia 105 Dual simu ila zipo locked na Tigo tu kwa slot zote mbili sim one na sim two je Gharama za unlock ni bei gani??? Simu zinauzwa 45000, Je Bei ya ambazo ziko unlocked bei gani???
 
ni za 2017? kama 2017 ni around 50,000 kama ni 105 ile ya kawaida inapatikana rahisi zaidi.

ya 2017 ipo round kwenye kona
nokia-105-2017-2.jpg

wakati ile original 105 kwenye kona ipo pembe nne zaidi.

nikon-105-2.jpg
 
Mkuu ni iyo ya 2017 yakwaza juu uliyoweka?
 
zipo model nyingi. minimum inakuwa cat 4 150mbps
Mkuu mie ningependa kufahamu zaidi uhusiano wa mifi na wifi kupitia hivyo visimu

Faida yake hasa ni ipi? Maana Nokia 105 sidhani Kama inawezekana
 
Mkuu mie ningependa kufahamu zaidi uhusiano wa mifi na wifi kupitia hivyo visimu

Faida yake hasa ni ipi? Maana Nokia 105 sidhani Kama inawezekana
hakuna mahusiano ya hio mifi na hio nokia. na faida yake ni kuwezesha kifaa zaidi ya kimoja kuwa connected. modem ya kawaida huconnect kifaa kimoja tu.
 
Back
Top Bottom